samahani nawezaji kufanya order mimi nipo kimara temboni
jibu: usiofu tunaweza kufika mbaka mlangoni nkwako we piga simu na ufanye maripo utaretewa mzigo mbaka mlangoni kwako
Swali: samahani mnauza aina ngapi za ngama kwenye kampuni yenu?
jibu: tuna uza nyama zifuatazo nyama ya ng'ombe, mbuzi, kondoo, kuku samaki etc na pia tunapokea mawazo yenu nyama gani nyingine mngepanda ziongezwe
Swali: kwani office zenu zinapatikana wapi?
Jibu: office zetu zinapatikana Dar es salaam, kinondoni karibu sana
Swali: naweza kupata mnyama mzima asiye chinjwa, kama ng'ombe au mbuzi
Jibu: wanyama wazima wanapatikana wewe chakufanya weka order yako na utapata mnyama umtakae kwa bei rahisi kabisa
Swali: nipo buseresere naweza kupata nyama kilo moja
Jibu: kwasasa tupo Dar es salaam pekee bado atujafika mikoa mingine ivi karibuni tunatafungua matawiyetu mikoani
Swali: samahani ivi naweza kupata nyama ambayo imesha pikwa kabisa au kuchoma
Jibu: apatana kwasasa tunauza nyama zisizo pikwa wala kuchomwa